Shusla
Music Artist

Shusla

Music Artist
Biography

Biography

Jina langu naitwa shusla lameck, ni kijana wa kitanzania ninayejushughulisha na Muziki wa injili nchini Tanzania. Safari yangu ya muziki ilianza nikiwa kijana mdogo kanisani, ambapo nilikuwa nikiimba katika kwaya ya watoto na baadae nikajiunga na kikundi cha kusifu na kuabudu kanisani hapo. Mwaka 2017 nikapata nafasi ya kuwa muhudumu wa kambi inayoitwa The highland 255 nikiwa ndani ya band ya kambi hiyo, na baadae nikakutana na label inayoitwa REVOLUTION ENTERTAINMENT TZ na kuwa msanii rasmi wa label hiyo.